JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ndugu Rais, Willbrod Slaa ni balozi, padri mpinzani

Ndugu Rais, Watanzania wa leo wengi wana fikra nzito kuliko baadhi ya waheshimiwa. Nimetumiwa meseji mbili. Ya kwanza mwandishi anasema amesukumwa na makala yangu niliyoiandika miaka tisa iliyopita ikiwa na kichwa cha habari, “Rais wangu Kikwete kwaheri ya kuonana wapambanaji…

Tusipotoshe kauli tukaiharibu nchi

Siku ya Ijumaa ya Agosti 9, mwaka huu nilipigiwa simu na marafiki zangu wawili kwa nyakati tofauti na kutoka maeneo tofauti. Simu ya kwanza ilitoka maeneo ya Oysterbay, Dar es Salaam na simu ya pili ilitoka jijini Mwanza kule Usukumani….

Kiswahili kimepandishwa hadhi na SADC

Mkutano wa 39 wa wakuu wa nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Southern African Development Community, kwa Kiingereza, au SADC kwa kifupi), uliyomalizika Dar es Salaam tarehe 18 Agosti, mwaka huu umeidhinisha matumizi ya lugha ya Kiswahili…

Kwanini Bageni anyongwe peke yake kati ya watu 13?

Walioshitakiwa walikuwa 13, SP Christopher Bageni, ACP Abdallah Zombe, ASP Ahmed Makele, PC Noel Leornard, WP 4593 Jane Andrew, CPL Nyangerela Moris, PC Michael Shonza, CPL Abeneth Saro, DC Rashid Mahmoud Lema, CPL Emmanuel Mabura, CPL Felix Sandys Cedrick, CPL…

Ukipoteza muda, muda utakupoteza zaidi

Maisha huwa hayana maana iwapo mwanadamu anaishi tu, siku nenda, siku rudi bila ya kugundua au kujifunza japo jambo moja jipya kila siku. Uamkapo asubuhi, utembeapo barabarani, ulalapo kitandani yafaa ujiulize: ‘Unaishi na mawazo yanayoishi au yaliyokufa?’ Maisha ni kufikiri,…

MAISHA NI MTIHANI (43)

Ukiomba mvua usilalamike kuhusu matope   Kulalamika ni mtihani. Unaweza kulalamika kuwa maua aina ya waridi yana miiba au kusifu kuwa miiba ina maua. Kuna mtoto aliyewalalamikia wazazi kuwa hawamnunulii viatu. Aliacha kulalamika alipoona mtu ambaye hana miguu, kuna makundi…