Author: Jamhuri
Pazia la Ligi Kuu kufungwa kesho
Dar es Salaam Na Andrew Peter Baada ya hekaheka za muda mrefu hatimaye pazia la Ligi Kuu ya Tanzania Bara litafungwa rasmi Jumatano hii lakini macho yatakuwa kwa timu nne za mwisho zinazowania kubaki katika ligi hiyo. Wageni Mbeya Kwanza…
Mastaa Bongo Fleva wanaowasha moto katika tamthiliya
NA CHRISTOPHER MSEKENA Licha ya soko la filamu za hapa nyumbani kuyumba lakini tamthiliya zinaendelea kubaki katika ramani na kujizolea wafuasi wengi wanaofuatilia visa na mikasa inayopatikana ndani yake. Ongezeko la tamthiliya limetoa nafasi kwa wasanii mbalimbali, wakubwa kwa wadogo…
Uingereza lawamani ‘kuuza’ wakimbizi Rwanda
Na Nizar K Visram Maili 80 kutoka jijini London, Uingereza, ndege aina ya Boeing 767 ilikuwa inasubiri katika uwanja wa kijeshi wa Boscombe Down kuwachukua wakimbizi na kuwahamishia Rwanda bila ridhaa yao. Hawa walitoka nchi mbalimbali kama Afghanistan, Iran, Iraq,…
Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu
Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Mimi ni miongoni mwa Watanzania wengi waliokupongeza kwa kuteuliwa kwa mara nyingine kuwa waziri mkuu baada ya msiba mzito wa Rais wetu mpendwa, Dk. John Magufuli, Machi mwaka jana. Hii haikuwa bahati tu kuendelea kuwa kiongozi…
Rais anavyofungua milango ya uwekezaji
Dar es Salaam Na Mwalimu Samson Sombi Maendeleo makubwa ya nchi pamoja na mambo mengine hutokana na maono na msimamo wa kiongozi mkuu wa nchi. Aidha, maendeleo ya nchi huwa na hatua kuu nne ambazo ni mipango, mikakati ya utekelezaji…
Kuhusu kesi ya kina Mdee kutupwa
Na Bashir Yakub Maombi au kesi inaweza kutupwa na mahakama kwa namna moja kati ya mbili. Inaweza kutupwa katika namna ambayo huwezi kuirudisha tena/kuifungua upya, au inaweza kutupwa katika namna ambayo unaweza kuirudisha tena/kuifungua upya. Kutupwa katika namna ambayo unaweza kuirudisha…





