JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Manabii wa viberenge vya Mlima Kilimanjaro…

Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa miongoni mwa waalikwa kwenye mkutano wa mwaka unaoandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na kuwakutanisha wahariri na waandishi wa habari waandamizi kutoka pande zote nchini. Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia TANAPA wameweka utaratibu…

Istilahi za kisiasa zitumike vema – (2)

Usiku  na  mchana, usalama na utulivu wa nchi unatoweka kwa sababu milio ya risasi na mabomu inarindima. Makazi salama yanavunjwa na miundombinu inabomolewa. Zahanati na vituo vya afya vinapokea majeruhi na wagonjwa wengi kuliko kawaida. Maiti wanazagaa barabarani na hospitalini, maji…

Yah: Huyu Julius wa Burigi anatafakarisha

Nimelala nikaota njozi mbaya sana kwa kuonyeshwa mtu ambaye namfahamu lakini siye, kuna mtu kasema amka umuangalie Julius yuko mbele yako, nami kwa haraka nikaamka ili nimsimulie tumefikia wapi katika kuenzi yale ambayo alituusia kama taifa. La kwanza kabisa ni…

Gamboshi: Mwisho wa dunia (8)

Wiki iliyopita katika sehemu ya 7 hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Je! Kutabasamu walijifunza wapi? Au unadhani kuna jamii fulani ilitoka huko ilikotoka na kuwafundisha ishara hizi? Jamii zote walijifunza ishara hizo kabla ya lile gharika la zimwi na…

Wasanii wa Tanzania mnakwama wapi?

Maneno ya Kiswahili yaliyotumika kwenye wimbo wa ‘Spirit’ wa Beyonce Knowles uliotoka hivi karibuni yamegusa hisia za Watanzania wengi. Si jambo geni kuyasikia maneno ya Kiswahili yakitumiwa na wasanii maarufu katika nyimbo zao, alikwishawahi kuyatumia Michael Jackson katika wimbo wake…

Ligi dhaifu, Taifa Stars pia dhaifu!

Emmanuel Amunike! Alipata sifa sana wakati akiwa mchezaji lakini amejikuta akiwa garasa katika kazi ya ukocha. Sitaki kuzungumzia huko alikotoka, lakini ndani ya Taifa Stars ameshindwa kufikia malengo ya waajiri wake, nao wamemtoa kafara. Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na…