JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Afrika yaandika rekodi kombe la Dunia Qatar 2022

Nchi za Afrika kwa ujumla wake zimefanikiwa kupata ushindi kwa zaidi ya mechi 3 katika hatua ya makundi ya Kombe la Dunia ambapo katika Michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Qatar nchi za Afrika zimepata ushindi katika mechi 4.  …

Morocco kuongeza idadi ya timu za Afrika 16 bora kombe la Dunia?

Na mwandishi wetu Saa 12:00 jioni ya leo waafrika wengi watakuwa mbele ya televisheni zao wakiangalia mechi ya Kombe la Dunia kati ya Morocco na Canada kwa matumaini makubwa ya kuona timu nyingine toka Afrika ikifuzu hatua ya 16 Bora…

Rais Samia awapa maagizo Vyuo vikuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Vyuo Vikuu kupitia mitaala yake ili ijikite katika kutoa elimu ambayo inakidhi mahitaji ya jamii. Rais Samia ametoa wito huo leo mara baada ya kutunukiwa Shahada…

Idadi ya wagonjwa yaongezeka Mlongazila

Idadi ya wagonjwa wanaofika kupata huduma ya matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imeongezeka kutoka 10854 kufikia 11188 kwa wagonjwa wa nje wakati wagonjwa wanaolazwa 793 hadi 1052 katika kipindi cha miezi miwili kuanzia Septemba hadi Novemba mwaka huu….

Tanzania Prison yawekewa Milioni 20 mezani kuiua Yanga

Na Mwandishi Wetu Wadhamini wa ‘wajelajela’ Tanzania Prisons ya Mbeya, Silent Ocean, wametoa ahadi ya milioni 20 kwa wachezaji wa timu hiyo ikiwa watafanikiwa kupata ushindi dhidi ya Yanga SC katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara siku ya Jumapili…