Author: Jamhuri
Rais Samia asikiliza kilio cha wanasiasa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema sheria ambazo zinahitaji marekebisho madogo zitafanyiwa kazi haraka huku nyingine zitachukua muda kidogo kulingana na muda wa mchakato wa utekelezaji. Rais Samia amesema hayo leo Oktoba 21,2022 Ikuku…
Tanzania yanadi fursa zake za uwekezaji nchini Ureno
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Dkt. Stergomena Tax amesema Serikali ya Tanzania inaendelea kuboresha mazingira ya Uwekezaji na ufanyaji biashara nchini ikiwa ni pamoja na kuzifanyia maboresho baadhi ya sheria za usimamizi wa biashara ili kuongeza…
Serikali: Malaria bado ni changamoto na inaipa mzigo Serikali
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa Malaria bado ni changamoto Tanzania na unaipa mzigo mkubwa Serikali katika utoaji wa huduma za afya. Waziri Ummy amesema hayo jana jijini Dodoma wakati akifunga Mradi wa Okoa Maisha uliokua unatekelezwa katika…
RC Ruvuma awapongeza TARURA kwa ufanisi wa kazi
Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Rabani Thomas amewataka Makandarasi wazawa kuonyesha uzalendo wa ufanisi wa kazi pindi wanapopewa kazi za ujenzi wa miradi mbalimbali ikiwemo za barabara ili waendelee kuaminiwa kupewa kazi zingine. Wito huo ameutoa…





