Author: Jamhuri
Watoto 64 wafanyiwa upasuaji wa moyo, Serikali yaokoa bilioni 1.6/-
Watoto 64 wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa upasuaji katika kambi maalum ya matibabu ya siku sita iliyomalizika jana katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam. Watoto hao walikuwa na matatizo ya matundu…
Kampasi ya Chuo Kikuu Dar kujengwa Kagera
Na Mathias Canal,JamhuriMedia,Kagera Katika kuboresha huduma za upatikanaji wa elimu kwa wanafunzi nchini Serikali imepanga kujenga Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Mkoani Kagera. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema hayo mbele ya mgeni rasmi Rais…





