Author: Jamhuri
Tanzania bado yasuasua matumizi ya 4G
Wakati dunia ikiingia kwenye teknolojia mpya ya 5G katika intaneti ambayo tayari imeshafanyiwa majaribio kwenye baadhi ya nchi, Tanzania bado inasusua kwenye matumizi ya teknolojia ya nyuma yake ya 4G na kusambaza mitandao inayowezeshwa na masafa hayo yaliyoanza kutumika mwaka…
Kifo cha Tim chazua simanzi dunia nzima
Ni tembo aliyekuwa na meno marefu sana Aliishi katika Hifadhi ya Amboseli, Kenya Mabaki yake kukaushwa, kufanywa kumbukumbu India yaweka rekodi ya tembo mzee zaidi duniani Alipewa jina la Tim na aliheshimika katika jamii yake. Huyu si binadamu bali ni…
TPA yafunga mtambo wa kisasa wa kufundishia Chuo cha Bandari
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania imekamilisha kazi ya kufunga mitambo miwili ya kisasa ya kufundishia kwa vitendo (Full Mission Crane Training Simulator) katika Chuo chake cha Bandari kilichopo Wilaya ya Temeke, katika Mtaa wa Mahunda. Mitambo hiyo ambayo imeanza…
Ndugu Rais, upanga una makali kuwili
Ndugu Rais, wako waliosema dunia hadaa, ulimwengu shujaa. Kwa muoga huenda kicheko, na kwa shujaa huenda kilio. Waliosikia walibadilika na kuwa wema na hivyo wakaponyoka adhabu yake, lakini vimbulu walingojea mpaka wakaangamia kwa mateso makali! Unajitengenezea aina ya kifo mwenyewe…
Unyanyapaa kwa WAVIU ni ubaguzi, dhuluma, dhambi
Wiki iliyopita Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (NACOPHA), aliwaalika viongozi wa dini kushiriki katika kikao kazi baina yao na Bunge/NACOPHA katika…
Ajira mbaya kwa watoto yaitesa Arusha
Jiji la Arusha linakabiliwa na wimbi kubwa la watoto wanaojihusisha na shughuli za kubeba mizigo katika masoko mbalimbali, jambo ambalo limesababisha wengi wao kukatisha masomo pamoja na kujiingiza katika vitendo vya kihalifu. Watoto hao wanafanya biashara za kubeba mizigo ya…





