JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Homa ya mgunda isiwe kikwazo cha kutokula nyama

Na Edward Kondela,JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI imesema ugonjwa wa Homa ya Mgunda usiwe kikwazo cha Watanzania kutokula nyama na kwamba asilimia tisini ya nyama inayopitia kwenye machinjio rasmi iko salama. Akizungumza jijini Dodoma kupitia vyombo mbalimbali vya habari, Mkurugenzi wa Huduma za…

Mbaroni kwa tuhuma za kutaka kuwauza wanaye albino Msumbiji

Baba ambaye anadaiwa kutaka kuwauza watoto wake watatu albino alikamatwa nchini Msumbiji wakati wakijadiliana kuhusu bei, Polisi wamesema. Mwanamume huyo (39) na kaka yake (34), walikamatwa katika Jimbo la Tete Magharibi.Wamekanusha shtaka hilo, kwa mujibu wa Polisi. Watu wenye ualbino…

Watalii 35 kutoka Israel watua Rombo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Rombo KIKUNDI cha Upendo Group kutokea nchini Israel kimewasili katika Wilaya ya Rombo kwa wiki mbili kuanzia Julai 26 hadi Agosti 6, mwaka huu. Pamoja na kufanya utalii, lakini kikundi hicho kitakarabati madarasa mawili ya shule ya msingi…