JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

SAU kushughulikia changamoto ya maji ikishinda uchaguzi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanzaย  Mgombea kiti cha Urais kupitia chama cha Sauti ya Umma(SAU),Majalio Kyara,amesema endapo  chama hicho kitashika dola katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29,mwaka huu,jambo la kwanza atahakikisha  kila mtanzania anafikiwa na  maji na huduma hiyo…

Dhamira ya Dk Samia ni kuiua utu wa kila Mtanzania- Dk Migiro

๐™’๐™–๐™ฃ๐™–๐™ฃ๐™˜๐™๐™ž ๐™ฌ๐™– ๐™‰๐™ฎ๐™–๐™ฌ๐™ž๐™ก๐™ž๐™ข๐™ž๐™ก๐™ฌ๐™– ๐™Ÿ๐™ž๐™ข๐™—๐™ค๐™ฃ๐™ž ๐™‚๐™š๐™ž๐™ฉ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™ข๐™š๐™ข๐™ฅ๐™ค๐™ ๐™š๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™จ๐™๐™–๐™ฃ๐™œ๐™ฌ๐™š. ๐˜ผ๐™ฉ๐™ค๐™– ๐™จ๐™–๐™ก๐™–๐™ข๐™ช ๐™ฏ๐™– ๐™ช๐™ฅ๐™š๐™ฃ๐™™๐™ค ๐™ฃ๐™– ๐™ช๐™Ÿ๐™ž๐™ค ๐™ฌ๐™– ๐˜ฟ๐™ ๐™ฉ. ๐™Ž๐™–๐™ข๐™ž๐™–. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, amewasili na kupokelewa na Viongozi mbalimbali wa Chama na Jumuiya, Viongozi mbalimbali…

Kwenye suala la kutafuta hatucheki na yeyote, ilani, sera na ahadi zinajitosheleza

Na ili kuthibitisha kuwa Ilani yetu (2025/30), sera zetu na ahadi zetu zimegusa matakwa na matarajio ya watanzania, ndiyo maana unaona nyomi kama hizi zimekuwa kila pahala ambapo Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia…

Jesca Magufuli : Kila Mtanzania ameshuhudia mafanikio yaliyotekelezwa na Dk Samia

Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jesca Magufuli, amesema kuwa kila Mtanzania anashuhudia mafanikio makubwa yaliyotekelezwa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameyasema…

Lipumba : Wananchi mna haki ya kudai mabadiliko

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema wananchi wana kila sababu ya kudai haki na kuleta mabadiliko kupitia chama hicho ambacho kimekuwa mstari wa mbele kutetea usawa kwa wote. Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata…

Dk Samia aendelea na kampeni Geita

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea na kampeni zake leo mkoani Geita kwa kufanya mikutano mikubwa ya hadhara katika maeneo ya Mbogwe, Bukombe na Runzewe. Katika mikutano hiyo,…