JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Uongozi siyo kazi ya rais peke yake

Juma lililopita Rais John Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam iliyoibua masuala kadhaa. Madhumuni ya ziara yalikuwa kuhakiki iwapo mafuta yaliyohifadhiwa kwenye matangi hapo bandarini yalikuwa ghafi au la, ili kubaini ushuru sahihi wa kulipia…

Ndugu Rais tumwache Akwilina apumzike kwa amani

Ndugu Rais, umebarikiwa wewe kwa sababu unatambua uwepo wa ukweli. Wakati wengine wakisema ukweli unauma, wewe umeihubiri kweli bila kuchoka. Mwenyezi Mungu akuimarishe ili uiishi hiyo kweli. Kweli ni dhahiri yaani bila uongo. Yako mengi yaliyosemwa juu ya kweli. Kamusi…

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani amethibitisha

MAOFISA watatu wa Kituo cha Uwekezaji cha nchiniย  (Tanzania Investment Center (TIC) wamefariki dunia katikaย  ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Chalinze wakiwa njiani kuelekea jijini Dodoma. Waliofariki ni Saidi Amiri Moshi (Kaimu Mkurugenzi wa Research zamani…

Bandari ya Mwanza kiunganishi Maziwa Makuu

Na Mwandishi Maalum ย  Baada ya kuona jinsi Bandari ya Kyela inavyoingโ€™arisha kiuchumi na kijamii Kanda ya Juu Kusini na nchi jirani za Malawi, Msumbiji na Zambia wiki iliyopita, katika makala haya tutaona jinsi Bandari ya Mwanza ilivyo kiungo muhimu…

Jaji Warioba matatani

*Mtendaji TBA aagiza afukuzwe alikopanga *Yono wakabidhiwa kazi ya kumwondoa *Amri ya Mahakama inayomlinda yapuuzwa *Yeye asema hadaiwi, polisi wasita kumwondoa       NA MANYERERE JACKTON   Waziri Mkuu na Makamu wa Rais (mstaafu), Jaji Joseph Warioba, anafukuzwa kwenye…