Author: Jamhuri
Mbatia jasiri wa kuigwa
Wahega walisema kwamba linaweza kutokea usilolitarajia kamwe. Sikutarajia hata siku moja kwamba Mbunge wa kuteuliwa na Rais atajiingiza kwa kishindo katika historia ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutenda kinachofanana na kuuma mkono unaomlisha, nia yake ikiwa kujiepusha na mgongano wa maslahi.
Je, Mkristo akichinja ni haramu?
Chakula cha nyama, ni moja ya hitaji katika mlo. Hutumika kama kitoweo sehemu mbalimbali kuanzia kwenye milo ya nyumbani, sherehe mbalimbali hadi sehemu kunakouzwa vyakula.Hata hivyo,suala linalohusiana na uchinjaji wa wanyama kwa ajili ya chakula, limekuwa likileta matatizo na misuguano isiyo ya lazima katika jamii yetu Watanzania, na hivyo kusababisha kero kwa watu wengine.
Wabunge msiwaangushe wapigakura wenu
Bunge la Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2013/2014 linaanza leo mjini Dodoma, huku Watanzania wakitarajia kuona na kusikia wabunge wao wakipitisha bajeti inayojibu matatizo yanayowakabili.
Mvutano uchinjaji Mbeya
Hivi karibuni kumezuka vurugu baina ya Wakristo na Waislamu katika mji wa Tunduma mkoani Mbeya, wakigombea uchinjaji mifugo ingawa siku zote Waislamu ndiyo wamekuwa wakitekeleza jukumu hilo.
India yakubaliwa kuchimba dhahabu, almasi Tanzania
Serikali ya Tanzania imekubali ombi la Serikali ya India, la kutaka kuwekeza katika sekta ya nishati na madini nchini.
Udokozi bandarini ukomeshwe
Bandari ya Dar es Salaam ni mashuhuri katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Bandari hii, kwa muda mrefu, imekuwa kitovu cha biashara kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki na Kati zisizokuwa na bandari (land locked).
- Msajili wa Hazina ateta na uongozi wa kampuni ya Barrick
- Mhe. Salome: Wizara ya Nishati ina wajibu wa kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika
- Serikali, KPMG kuimarisha ushirikiano katika maboresho ya mfumo wa kodi
- ADEM yasisisitiza matumizi sahihi ya AI kuboresha ubora wa elimu nchini
- Makamu wa Rais awasalimu wananchi wa Mbuyuni wilayani Moshi
Habari mpya
- Msajili wa Hazina ateta na uongozi wa kampuni ya Barrick
- Mhe. Salome: Wizara ya Nishati ina wajibu wa kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika
- Serikali, KPMG kuimarisha ushirikiano katika maboresho ya mfumo wa kodi
- ADEM yasisisitiza matumizi sahihi ya AI kuboresha ubora wa elimu nchini
- Makamu wa Rais awasalimu wananchi wa Mbuyuni wilayani Moshi
- Rais Mwinyi azitaka nchi za NAM kuunganisha sauti katika maamuzi ya kimataifa
- Prof. Shemdoe aelekeza wafanyabiashara 30 soko la ndizi Mabibo kurejeshwa sokoni
- Mavunde aitaka Mantra kuharakisha mradi wa Urani Mkuju
- JKCI yafanya upasuaji wa mtoto aliyezaliwa na mishipa miwili ya damu kwenye moyo
- Rais Samia aenda kuhudhuria uapisho wa rais mteule wa Zambia
- Rais Samia, Nchimbi, Ndejembi na siasa za CCM
- Soma Gazeti la Jamhuri Septemba 1-7, 2026
- Prof. Shemdoe apongeza mpango wa Mufti Bima Foundation kuwasaidia wananchi wasio na uwezo
- TASAC yasitisha leseni za ICD na kufungia sita
- BoT yawataka wasanii kuwa mabalozi wa elimu ya fedha