JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Gazeti Letu

Diamond ‘amkaanga’ Dk. Kigwangalla

Wakati sakata la Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla la matumizi mabaya ya madaraka likiendelea kushika kasi, msanii Abdul Nassib (Diamond) ‘amemkaanga’ waziri huyo kupitia kwa meneja wake, Hamisi Taletale (Babu Tale). Taletale amezungumza na JAMHURI na kuanika…

Mwaka wa miradi 

Mwaka 2019 ni mwaka ambao Tanzania imeshuhudia uzinduzi wa miradi mingi mikubwa pengine kuliko mwaka wowote tangu nchi ipate Uhuru Desemba 9, 1961. Hata hivyo, wakati baadhi ya watu wakiisifu Serikali ya Awamu ya Tano kwa kazi hiyo chini ya…

Miaka minne ya machozi, jasho na damu Chadema

DAR ES SALAAM NA ALEX KAZENGA Uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliokamilika wiki iliyopita umekipatia chama hicho safu ya uongozi katika ngazi zote huku Mwenyekiti wake wa taifa, Freeman Mbowe, akiapa kuendeleza mapambano ya kisiasa…

Bilionea Friedkin atandikwa bil. 80/

ARUSHA NA MWANDISHI WETU Kampuni za bilionea raia wa Marekani, Dan Friedkin, zinazotikiswa na ukwepaji kodi, rushwa na uhujumu uchumi, zimekiri kuwa zinachunguzwa. Hayo yakiendelea, imebainika kuwa kwa miaka 30 kampuni hizo hazijawahi kutangaza kupata faida; jambo linalotia shaka na…

Kipilimba katika mgogoro wa ardhi

Balozi Dk. Modestus Kipilimba yumo kwenye mgogoro wa ardhi na baadhi ya wakazi wa Msakuzi, Mbezi Luis, Dar es Salaam wanaodai amewapoka maeneo yao kwa kutumia nafasi aliyokuwa nayo. Miongoni mwa wanaolalamika ni Rudolf Temba, ambaye amesema amedhulumiwa ekari 2.5…

Bilionea Friedkin alipa

Kampuni za bilionea raia wa Marekani, Dan Friedkin, zilizonaswa kwenye kashfa ya ukwepaji kodi, zimeweka Sh bilioni 50 kwenye akaunti maalumu ya Serikali ya Tanzania. Habari za uhakika zinaonyesha kuwa pamoja na kulipa kiasi hicho, kuna fedha nyingine nyingi zilizoingizwa…