Category: Habari Mpya
Rais Samia kuwaongoza viongozi ibada ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Sokoine
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Media Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwaongoza viongozi mbalimbali kwenye ibada maalum ya kumbukizi ya miaka 40 ya Hayati Edward Moringe Sokoine aliyekuwa Waziri Mkuu wa tatu wa Tanzania katika kipindi…
TAKUKURU: Miradi 171 yabaini kuwa na kasoro, uchunguzi waanza
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imefanya tathmini ya miradi 1,800 na kati ya miradi hiyo 171 yenye thamani ya Sh bilioni 143.3 ilibainika kuwa na utekelezaji hafifu na hivyo kuanzisha uchunguzi. Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Salum Hamduni…
Equity benki yakutanishwa na vikundi vya huduma ndogo Tarime Mjini
Na Helena Magabe, JamhuriMedia,Tarime Halmashauri ya Mji Tariime Kwa kushirikiana na Benki ya Equity wametoka semina fupi kwa vikundi mbalimbali vya huduma ndogo vilivyopo Tarime Mjini. Lengo la semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Blue Sky ni kuwajengea…
PAC yaridhika na uwekezaji na utekelezaji mradi wa SGR
Na Jumanne Magazi Makamo Mwenyeki wa Kamati ya Kudumu ya Uwekezaji wa mitaji ya Umma (PAC), Deus Sangu amesema kamati yao imeridhika uwekezaji na utekelezaji wa mradi wa Reli ya mwendokasi SGR. Ameyasema hayo leo Machi 27,2024 wakati walipofanya ziara…
DAS Magogwa awaasa wananchi kujiepusha ukataji miti kiholela
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha KATIBU Tawala wilaya ya Kibaha , mkoa wa Pwani, Moses Magogwa amewaasa wananchi kujiepusha na ukataji miti kiholela na badala yake wajenge tabia ya kupanda miti na kuitunza kwani ndio jawabu la kupambana na uharibifu…





