Category: Habari Mpya
Wizara yaitaka NIRC kusimamia maono ya Rais Dk Samia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Dkt. Hussein Mohamed Omar, amesema matarajio ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona sekta ya kilimo inaleta mageuzi ya kiuchumi nchini. Amesema kutokana na hatua hiyo…
Wafugaji nchini watakiwa kufuga kisasa kuleta maendeleo
📌 Dkt. Biteko aagiza Wizara ya Mifugo kuendelea kutoa elimu ufugaji wa kisas 📌 Wafugaji na wakulima waaswa kuondokana na migogoro 📌 Wafugaji watakiwa kutumia Maafisa Ugani kwa ufugaji wa tija Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa…
Ufafanuzi kuhusu gawio la bilioni 153.9 lililotolewa na TPA kwa Serikali
Katika mitandao ya kijamii na makundi sogozi, zinasambaa taarifa potofu kuhusu uhalisia wa Gawio la Shilingi Bilioni 153.9 lililotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa Serikali kwa mujibu wa Sheria kwa mwaka 2024. Kufuatia taarifa hizo potofu,…
Wadau waitaka Serikali kurejesha mchakato wa Katiba Mpya
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sera za Kijamii Zanzibar, ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mohammad Yussuf Mshamba amesema ni wakati muafaka wa serikali kurejesha mchakato wa Katiba Mpya. Ameyasema…
Kadi ya NIDA si kigezo cha kuandikishwa kuwa mpiga kura
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema watu wote wenye sifa za kuandikishwa kuwa wapiga kura wataandikishwa hata kama hawana kitambulisho cha Taifa kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Hayo…





