Zari, Dowei Care kutoa msaada Muhimbili

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya Dowei Care Technology ambao ni wazalishaji wa Taulo za kike na za watoto (SOFTCARE) wanatarajia kutoa msaada wa bidhaa zao katika Hospital ya Taifa ya Muhimbuli katika kitengo cha huduma za mama na mtoto lengo likiwa kuendelea kumsaidia mwanamke kujisitiri pindi anapokuwa kwenye siku zake za…

Read More

TANAPA: Watalii 1.5 watembelea Hifadhi za Taifa

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) limesema kwa mwaka huu wa fedha 2023/2024 katika kipindi cha Julai 2023 hadi Machi 19, 2024 idadi ya watalii imeongezeka na kufikia 1,514,726. Aidha limesema katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi…

Read More