JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TMDA Kanda ya Magharibi yakamata dawa za mil.2 za kuongeza nguvu za kiume

Na Benny Kingson, JamhuriMedia, Tabora Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba kanda ya magharibi TDMA imekamata jumala ya daza za milioni 2 zikiwemo ‘vega’ na sigara dawa amazo ni hatari kwa matumizi. Meneja wa TFDA Kanda hiyo Dk.Christopher Migoha akitoa…

Serikali yabaini uanzishwaji wa nyumba za ibada kiholela

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Ndani, Hammad Masauni amesema kuwa wamebaini kuwepo kwa uanzishwaji holela na utitiri wa nyumba za ibada katika maeneo mbalimbali nchini. Ameyasema hayo yame leo Machi 26, 2024 wakati wa…

Waziri Jafo: Hoja 22 kati ya 25 za Muungano zapatiwa ufumbuzi

Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema kuwa katika kipindi cha katika kipindi cha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utatuzi wa hoja za…

Wananchi wasisitiza kutumia kwa usahihi miundombinu ya majitaka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph amewataka wananchi kuzingatia matumizi sahihi ya utumiaji wa mfumo wa mtandao wa majitaka ili kuondokana na adha ya kuziba mara…

Tanzania yatekeleza ahadi ya Beijing

Na Salma Lusangi, JamhuriMedia, New York Licha ya changamoto za kiuchumi Duniani, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweza kutekeleza hatua mbali mbali zilizolengwa ili kupunguza athari kwa wanawake, na kuimarisha dhamira ya Utekelezaji wa Jukwaa la Beijing na…

Miaka mitatu ya Rais Samia, TRC yajivunia mafanikio makubwa

Na Jumanne Magazi,JamhuriMedia, Dar es Salaam Mtendaji Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, amesema shirika limepata mafanikio makubwa kiutendaji ndani ya miaka mitatu ya uongozi wa Rais DKt Samia Suluhu Hassan tokea aingie madarakani. Akizungumza na wahariri…