JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Watumishi wawili Jiji la Mbeya wahukumiwa kwa kuomba na kupokea rushwa 75,000/-

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewahukumu Bw. Nelson Mwakilasa ambaye ni msaidizi wa Mkuu wa Masoko na Felister Mwanisongole ambaye ni askari mgambo, wote hao wakiwa ni watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Watumishi hao wameamuriwa kulipa faini ya…

Mudathir Yahya akabidhiwa masandawana

Na isri Mohamed Afisa Habari wa klabu ya Yanga, Ali Kamwe amemtangaza Kiungo wao Mudathir Yahya kuwa ndiye nyota wa mchezo wao dhidi ya Mamelod Sundowns utakaochezwa Jumamosi ya Machi 30, katika dimba la Mkapa. Kamwe amesema kutokana na kiwango…

Shaka atoa siku tano kupata majibu ujenzi ICU chini ya kiwango

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilosa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, ameagiza kufanyika kwa uchunguzi wa mradi wa ujenzi wa Jengo la Wagonjwa Mahututi (ICU) katika hospitali ya wilaya hiyo lililogharimu Sh. milioni 278 ambalo ujenzi…

Serikali ya Awamu ya Sita yaendelea kufanya vizuri ukusanyaji mapato

Na Lilian Lundo – Maelezo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato…

Waongoza utalii wachachamaa, watoa saba, wamuomba Rais Samia aingilie kati

  Waongoza utalii Mkoa wa Arusha,wametoa siku saba kwa rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kuzipatia ufumbuzi changamoto zinazowakabili ili kufikia malengo ya Serikali iliyojiwekea katika sekta ya utalii. Akiongea  kwenye mkutano wa pamoja uliokutanisha vyama mbalimbali vya waongoza…