Category: Habari Mpya
TPA yatoa ufafanuzi ajira DP World
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imesema kuwa imewapa watumishi wake nafasi ya kuchagua ama kubaki TPA au kusitisha mkataba wa ajira na TPA na kuajiriwa na Kampuni ya DP World ya Dubai. TPA imesema hayo katika taarifa yake…
ACT Wazalendo wataka mabadiliko ya sheria vyombo vya haki jinai
Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kupeleka bungeni muswada wa marekebisho ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuvifanyia mageuzi makubwa vyombo vya haki jinai na mfumo wa uchaguzi kwa ujumla wake. Akizungumza leo katika makao makuu ya…
Mradi kuwawezesha wanawake sekta uvuvi Afrika Mashariki wazinduliwa
Na Edward Kondela, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mradi wa kuwawezesha wanawake katika mnyororo wa thamani wa mazao ya uvuvi kwa nchi za Afrika Mashariki kupitia Ziwa Victoria umezinduliwa ili kumuwezesha mwanamke kuongeza kipato kupita kupitia mazao hayo. Akizungumza jijini Dar…
Benki Kuu kukabiliana na upungufu wa fedha za kigeni
Benki Kuu ya Tanzania imeendelea kushiriki kikamilifu katika Soko la Jumla la Fedha za Kigeni, kwa kuuza dola ya Marekani kwa benki za biashara ikiwa ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kupunguza uhaba wa fedha za kigeni nchini. Kwa mujibu…
JNIA wasisitiza umuhimu wa kufuatilia taarifa za hali ya hewa kuepuka madhara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Kituo Kituo Cha Hali ya Hewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) imeadhimisha siku ya Hali ya Hewa Duniani kwa kutoa elimu kwa wadau mbalimbali wa maendeleo, huku wakiitaka jamii…
Nchimbi afurahishwa na msimamo wa wana-CCM Pemba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pemba KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema anawaheshimu na kuwakubali wana CCM wa Pemba kwa misimamo yao thabiti katika kuilinda na kuitetea CCM bila kuyumba. Dk. Nchimbi pia amewapongeza kwa…





