Category: Habari Mpya
Majaliwa azitaka halmashauri kuweka mpango wa ufuatiliaji na tathmini ya matumizi ya ardhi
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Lindi WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezielekeza Halmashauri zote zinazotekeleza mradi wa Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Vijiji kuandaa mpango wa ufuatiliaji na tathmini ili kupima ufanisi wa utekelezaji wa mradi huo. Ametoa maelekezo hayo leo…
Mbaroni kwa kumuua mkewe na kumzika chumbani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mohamedi Omari, mkazi wa kijiji cha Kimamba A, wilayani Kilosa kwa tuhuma za kumuua mkewe na kumzika ndani ya chumba wanacholala. Tukio hilo la…
Walioleta mtandao wa Starlink wakamatwa
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kuingiza vifaa vya mawasiliano ya intaneti nchini bila kufuata utaratibu wa kisheria vyenye jina la STARLINK KIT/DEVICE….
Dk Biteko aagiza Wizara ya Maji kuhakikisha wananchi wanapata maji sagi ma salama
📌 Asisitiza Wananchi kutoa maoni utunzaji wa mazingira katika Dira 2050 📌 Ataka Bodi za Mabonde ya Maji/NEMC kudhibiti uchafuzi wa mazingira 📌 Uvunaji wa Maji ya Mvua wasisitizwa ngazi ya Kaya, Taasisi hadi Taifa 📌 Amtaja Rais Dkt. Samia…
Urusi yafanya mashambulizi makali ya makombora Ukraine
Rais wa Urusi Volodymyr Zelensky amesema Urusi imefanya mashambulizi makali ya usiku kucha kwa kutumia zaidi ya makombora 90 na droni 60 aina ya Shahed zilizotengenezwa na Iran. Rais wa Urusi Volodymyr Zelensky amesema leo kuwa Urusi imefanya mashambulizi makali…
Spika wa Bunge la Afrika Kusini ajisalimisha kwa Polisi
Spika wa bunge la Afrika Kusini amejisalimisha kuwa Polisi huku uchunguzi wa ufisadi ukiendelea dhidi yake. Nosiviwe Mapisa-Nqakula alijisalimisha kwa Polisi ya Kati ya Pretoria leo asubuhi na anatarajiwa kufikishwa mahakamani baadaye mchana, ripoti za vyombo vya habari vya ndani…





