Category: Habari Mpya
Ikupa Foundation yawashika mkono wenye mahitaji maalum
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mbunge wa viti maalum Stella Ikupa ametoa wito kwa wadau mbalimbali kuendelea kusaidia makundi ya watu wenye uhitaji wakiwemo walemavu ambao wamekuwa na mahitaji mengi. Aidha ametoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watu wenye ualibino mkoani hapa…
Naibu Waziri Pinda ataka upendo kwa watumishi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda ametaka kuwepo upendo miongoni mwa watumishi ili waweze kutekeleza majukumu kwa ufanisi. Aidha, amewataka watumishi hao wa sekta ya ardhi kufanya kazi kwa bidii…
Majaliwa aongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu nishati safi ya kupikia
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu Nishati safi ya kupikia, katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko.
Serikali yatimiza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika Lindi na Mtwara
📌 Mtambo wa Megawati 20 wawasili mkoani Mtwara 📌 Wabunge wapongeza Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Serikali imeendelea kutekeleza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika katika mikoa ya Lindi na Mtwara ambapo leo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi…
Serikali yasaini mkataba wa umeme wa megawatt 49.5 kutibu kero ya umeme Kigoma
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati nchini Dkt ,Dotto Biteko ameshuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa mradi wa Uzalishaji umeme wa megawatt 49.5 kwa nguvu ya maji katika mto Malagalasi Mkoani Kigoma Utakaogharimu…





