Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Rais wa Poland Andrzej Duda pamoja na ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanahabari Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusiana na ziara ya Rais wa Poland Andrzej Duda tarehe 09 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Rais wa Poland Andrzej Duda pamoja na ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipeana mkono na Rais wa Poland Andrzej Duda mara baada ya kuzungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.