Category: Habari Mpya
Ajali ya basi yaua watatu
Watu watatu wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani eneo la Mogitu wilayani Hanang mkoani Manyara. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, George Katabazi, amesema ajali ya kwanza ilihusisha magari mawili ya mizigo, hali iliyofanya barabara isipitike…
LATRA yatangaza bei Daraja la Kawaida SGR
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli za abiria wa daraja la kawaida kwa Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Makutupora ambapo abiria anayetoka Dar es Salaam hadi Dodoma…
Serikali kuajiri watumishi wa afya 10,112
Serikali imesema kuwa mwaka ujao wa fedha itaajiri watumishi wa afya 10,112 ili kukabiliana na upungufu wa watumishi hasa maeneo ya vijijini. Hayo yameelezwa bungeni, Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia…
Serikali inathamini mchango wa matumizi ya nishati safi zote za kupikia
📌 Yawatoa hofu sekta binafsi kudhani nishati safi ni gesi pekee 📌 Mchango wa gesi asilia nishati safi kuchangia asilimia10 miaka kumi ijayo 📌 Umoja wa Ulaya kuendelea kufadhili utekelezaji wa Nishati safi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es salaam…
Wanne wakamatwa wakitorosha mifugo 70 kwa njia za panya Longido
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo kwa kushirikiana na Mizara ya Mifugo na Uvuvi wamefanikiwa kukamata watuhumiwa wanne na mifugo 70 aina ya Ng’ombe ambayo ilikuwa ikitoroshwa Kwenda nchi Jirani…





