Category: Habari Mpya
Rais Samia aboresha huduma za afya Kasulu Vijijini
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Kigoma SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan imepongezwa kwa kuboresha huduma za afya kwa wakazi wa vijijini Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma. Wakiongea na JAMHURI DIGITAL kwa nyakati tofauti baadhi ya…
Biteko aiagiza TANESCO kukata umeme kwa wadaiwa sugu
📌Akemea vikali wahujumu wa miundombinu ya umeme, Asema Serikali iko kazini, Itawashughulikia 📌Ataka TANESCO kusikiliza na kujibu Wateja kwa haraka 📌Asisitiza utunzaji wa Mazingira Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliagiza…
Serikali kujenga daraja la kisasa Maretadu-Garkawe
Wananchi wa kata za Maretadu na Maghang Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, wameishukuru Serikali kwa kuanza ujenzi wa Daraja la Maretadu-Garkawe wakisema kukamilika kwa daraja hilo kutarahisisha mawasiliano na usafirishaji. Wakizungumza kwenye ziara ya mkuu wa Mkoa wa…
Mbarawa atoa maagizo kwa mkandarasi Bukoba
KAGERA: Waziri wa uchukuzi Profesa ,Makame Mbarawa amemtaka mkandarasi anayetekekeza mradi wa upanuzi wa bandari za Kemondo na Bukoba zilizopo wilayani Bukoba mkoani Kagera kuongeza Kasi ya ujenzi wa mradi huo ili kufikia mwezi Mei mwakani. Profesa Mbarawa aliongozana na…
Jando, unyago vyachangia ukatili wa kijinsia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara MKOA wa Mtwara umetajwa kuwa miongoni mwa mikoa inayochangia kwa kiasi kubwa ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto wa kike hali inayohusishwa wa utekelezaji wa mila za jando na unyago. Akizungumza leo mkoani Mtwara katika…





