Category: Habari Mpya
‘Jamii yatakiwa kuzingatia usawa wa kijinsi katika maendeleo Pwani’
JAMII Wilayani Kibaha , mkoani Pwani imetakiwa kuzingatia usawa wa kijinsia kwenye shughuli za maendeleo ili kuwe na haki sawa. Hayo yalisemwa Mjini Kibaha na Ofisa Maendeleo ya Jamii kitengo cha jinsia wa Halmashauri ya Mji Kibaha, Maria Nkangali wakati…
Picha: Rais Samia akishiriki Jukwaa la Mfumo wa Chakula ( AGRF)
Matukio mbalimbali katika picha wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi, washiriki na wadau wengine waliyohudhuria Jukwa la Mifumo ya Chakula Afrika linaloendelea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere,…
Kilimo cha mazoea kwa kutegemea mvua kubaki historia tanzania
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar Es Salaam Serikali imesema kuwa mkutano wa Jukwaa la chakula Barani Afrika (AGRF) ni wa kimkakati kwa Tanzania ambapo mageuzi makubwa yanatarajiwa kushuhudiwa katika kilimo. Mageuzi hayo ni pamoja na kufanya kilimo kuwa cha…
Tanzania yapata mapokezi makubwa maonesho ya 68 ya Vito Thailand
Naibu Katibu Mkuu Mbibo awataka Wafanyabishara, Wachimbaji kuchangamkia fursa Na Wizara ya Madini- Bangkok Ushiriki wa Tanzania katika Maonesho ya 68 ya Vito na Usonara katika jiji la Bangkok nchini Thailand umewavutia Wafanyabiashara mbalimbali wa madini kutokana na wengi kutumia…





