Category: Habari Mpya
‘Wataalam waliostaafu kuendelea kutumika katika ujenzi, matengenezo ya barabara’
Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi…
Gavana Bwanku apokea miche ya miti 500 kutoka TFS, adhamiria Katerero kuwa kijani
TFS inamuunga mkono vyema Rais Samia kulinda mazingira kupitia upandaji miti. Afisa Tarafa wa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku leo Jumatano Mei 29, 2024 amepokea jumla ya miche ya miti 500 kutoka kwa Wakala…
Wizara ya Ujenzi yaomba bajeti ya trilioni 1.77
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewasilisha makadirio ya bajeti ya shilingi trilioni 1.77 kwa ajili ya utekelezaji vipaumbele tisa vyenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani, ukamilishaji viwanja vikubwa vya ndege. Amesema…
Chuo cha afya KAM champongeza Rais Samia sekta ya afya
*Chaanza kudahili wanafunzi kozi za afya Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Afya cha KAM College kilichoko Kimara jijini Dar es salaam ambacho kimebobea kwenye mafunzo ya sekta ya afya, kimepongeza juhudi za serikali katika kuwekeza kwenye…
TRA yatoa elimu kwa mara ya kwanza kwa waandishi habari wa JUMIKITA
Na Magrethy Katengu, JamhuriMeedia, Dar es salaam Mamlaka ya Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imewaomba waandishi wa habari za Mtandaoni (digital online) kuhamasisha wananchi kuwa na desturi ya kudai risiti pale wanapofanya manunuzi ili kusaidia kuwapata wafanyabiashara wanaokwepa kulipa kodi….
TANROADS kuanza ujenzi daraja la Jangwani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa Ujenzi wa Daraja la Jangwani. Bashungwa ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati wa kuwasilisha Makadirio…





