JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tanzania, Marekani kukuza kiwango cha biashara

TANZANIA na Marekani zimedhamiria kuongeza kiwango cha  biashara baina ya nchi hizo kutoka kiwango cha  Dola milioni 460  zikizofikiwa kuanzia mwaka 2016 hadi 2023. Balozi wa Marekani nchini , Michael Battle amesema hayo leo Dar es Salaam wakati akifungua mkutano…

Wahandisi wafanyiwa vipimo vya viashiria vya moyo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inatoa huduma za uchunguzi wa magonjwa ya moyo na ushauri wa lishe bora kwa wahandisi kutoka nchi za Afrika walioudhuria mkutano wa 30 wa wahandisi washauri Afrika (FIDIC Africa)…

Teknolojia mbadala kuimarisha mtandao wa barabara nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Teknolojia mbadala kuimarisha mtandao wa barabara ikiwemo ujenzi wa madaraja imara na madhubuti itaendelea kutumiwa nchini na Wakala ya Barabara za Vijijini na Vijijini – TARURA. Yameelezwa hayo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi…

Wizara ya Ujenzi yajipanga kurudisha miundombinu iliyoharibika – Bashungwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema wizara kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imejipanga kufanya matengenezo makubwa kwa lengo la kurudisha mawasiliano kwenye barabara, madaraja, makalvati pamoja na vivuko zilizokatika kutokana na mvua…

RC Senyamule : Wananchi wekeni mkakati wa kufanya mazoezi

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewahimiza wananchi kuweka mkakati wa kufanya mazoezi kwa lengo la kuweka sawa miili yao ili kukabiliana na magonjwa ambayo yamekuwa yakiwa kumba mara kwa mara. Mkuu huyo wa Mkoa ameyasema hayo leo Wilayani…

JK kinara utafutaji fedha za za kuimarisha elimu Afrika

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) ameshiriki Mkutano wa Mwaka 2024 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB 2024 Annual Meeting) unaofanyika jijini Nairobi, Kenya tarehe…