JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Watumishi Mahakama wapata mafunzo mfumo mpya wa manunuzi ‘NeST’

Na Mary Gwera, JamhuriMedia, Mahakama Mahakama ya Tanzania kupitia Kitengo cha Maboresho (JDU) imeandaa Mafunzo ya kujenga uelewa kwa Watumishi wake kuhusu matumizi ya Mfumo mpya wa Serikali wa Ununuzi wa Umma kwa njia ya Mtandao unaojulikana kama (NeST). Akifungua…

Trump, wengine 18 washtakiwa kwa kutengua uchaguzi

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameshtakiwa kwa kujaribu kutengua uchaguzi wa 2020 katika jimbo la Georgia. Yeye na wengine 18 wameshtakiwa kwa makosa ambayo ni pamoja na ulaghai katika hati ya mashtaka 41 iliyotolewa kwa jopo la majaji…

Uhamiaji yawakamata wahamiaji haramu 65 raia wa Ethiopia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Idara ya Uhamiaji imewakamata wahamiaji haramu 65 raia wa Ethiopia ambao walikuwa wanasafirishwa kwa gari ya kubebea mafuta. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari kutoka idara hiyo imesema kuwa wahamiaji hao walikuwa wanasafirishwa…

NMB yapata heshima kubwa ya superbrands

Na Mwandishi Wetu, JmahuriMedia Benki ya NMB imetunukiwa cheti cha kuwa ‘Superbrand’, na kuifanya kuwa  benki pekee iliyopata hadhi hiyo katika tasnia yakifedha nchini Tanzania mwaka huu. Hadhi hiyo ya ‘Superbrands’ inatunukiwa chapa bora zaidi katika uwanja wao kufuatia mchakato…

Waziri Mabula atahadharisha wanaotumia wizara kama rejea kufanya uhalifu

Na Munir Shemweta, JamhuriMedia, WANMM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa tahadhari kwa wale wanaotumia wizara yake kama rejea kufanya uhalifu na kujipatia mali au fedha isivyo halali. Waziri Mabula amesema mtu yoyote akihisi…