Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 15, 2023
Habari Mpya
Rais Samia afungua Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa Anglikana Dodoma
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia afungua Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa Anglikana Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Maaskofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo kwenye Sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma Agosti 15, 2023.
Muonekano wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Central Tanganyika ambalo limefunguliwa Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu tarehe 15 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akicheza pamoja na waimbaji wa Kwaya ya Safina wakati wa Sherehe za ufunguzi wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo lililopo katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) Dkt. Dickson Chilongani wakati wa Sherehe za ufunguzi wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo lililopo katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023.
Post Views:
1,443
Previous Post
Uchafuzi wa mazingira una mchango mkubwa katika kupungua kwa uzazi duniani
Next Post
Watumishi Mahakama wapata mafunzo mfumo mpya wa manunuzi 'NeST'
Mwanamuziki wa injili Rehema Simfukwe atoboa siri sababu kutunga wimbo wa Chanzo
Watoto mapacha wamuua mama yao mzazi
Waliokaidi ukaguzi magari ya shule wakamatwa Arusha
Bilioni 5 kujenga soko la kimataifa Missenyi
Baba atuhumiwa kuua watoto wawili
Habari mpya
Mwanamuziki wa injili Rehema Simfukwe atoboa siri sababu kutunga wimbo wa Chanzo
Watoto mapacha wamuua mama yao mzazi
Waliokaidi ukaguzi magari ya shule wakamatwa Arusha
Bilioni 5 kujenga soko la kimataifa Missenyi
Baba atuhumiwa kuua watoto wawili
Wazima moto wapambana kuzuia moto mkubwa Los Angeles
-Tanzania ipo tayari kupokea wakuu wa nchi Afrika katika mkutano wa Nishati wa Mision 300′
Matumizi ya Baruti yaongezeka nchini
Wananchi wampongeza Rais Samia kufikisha umeme vituo vya afya vijijini
Simba yazidi kuchanja mbuga
Balozi Nchimbi amjulia hali Mzee Mangula
Maria Sarungi atekwa Nairobi
TMA yatoa angalizo ya hali ya hewa mbaya kwa siku tano
Rais Dkt. Samia ashiriki maadhimisho ya kilele cha Miaka 61, ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Kisiwa cha Mayotte kukabiliwa na kimbunga kipya Jumamosi