Category: Habari Mpya
Bilioni 1.7 zawatua akina mama ndoo vichwani Magu
Na Baltazar Mashaka, JamhuriMedia, Magu WANANCHI wa Vijiji Bugando, Nyashigwe,Chabula na Kongolo wilayani Magu,wameondokana na adha ya ukosefu wa maji safi na salama baada ya Serikali ya Awamu ya Sita,kukamilisha mradi wa Maji Chabula-Bugando kwa gharama ya sh. bilioni 1.78. …
Serikali yazungumzia udhibiti magonjwa ambukizi
SERIKALI imesema Kampeni ya Mtu ni Afya iliyozinduliwa mapema mwezi huu itasaidia udhibiti wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Mei 27, 2024 na Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa…
Utalii wa kimafunzo washika kasi, wanafunzi Chuo cha Quinnipiac nchini Marekani wawasili nchini
Na Mwandishi Maalum Timu ya Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Quinnipiac chini Marekani wakiambata na Maprofesa wao, wamewasili nchini kupata uzoefu na elimu juu ya uhifadhi na namna tafiti zinavyosaidia uhifadhi wa Maliasili. Ziara yao itaambatana na kutembelea hifadhi za…
Watanzania waaswa kutumia fursa ya msaada wa kisheria kutatua migogoro
📌 Ni kupitia kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia 📌 TEHAMA kutumika utoaji haki 📌Watoa huduma za sheria wahudumie wananchi kwa upendo Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa…
Ahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa miaka 13
Mahakama ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga imemhukumu jela kifungo cha maisha, Ramadhani Bakari Iddi (46) mkazi wa Kilapula, Kata ya Ngomeni kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 13. Akitoa hukumu hiyo juzi, Hakimu Mkazi wa Mahakama…
Safari treni ya kisasa kuanza rasmi Julai 25
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema kuwa safari ya treni ya mwendokasi ( SGR) kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma inatarajiwa kuanza Julai 25, 2024. Mbarawa amesema hayo baada ya kufanya ziara ya kukagua…





