Category: Habari Mpya
Wagombea 14 wateuliwa kuwania kiti cha ubunge Jimbo la Kwahani
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia,Unguja JUMLA ya wagombea 14 kutoka vyama vya siasa vyenye usajili kamili wameteuliwa kuwania kiti cha Ubunge katika Jimbo la Kwahani, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwahani, Bi. Safia…
Vijana wa BBT – LIFE waoneshwa vitalu, Rais Samia atajwa kwa mchango wake mkubwa sekta ya mifugo
Na Edward Kondela, JamhuriMedia, Karagwe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya kutafsiri ndoto halisi ya wingi wa mifugo nchini katika kubadilisha mfumo wa maisha kwa watanzania kupitia sekta hiyo. Akizungumza (21.05.2024) wakati…
Dk Biteko mgeni rasmi mkutano wa kitaalaum wa makatibu mahsusi Tanzania
Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unafanyika leo, Mei 23, 2024 katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko. Mkutano huo ulioanza…
RC Ruvuma : Mfumo wa stakabadhi ghalani umedhibiti vipimo visivyo halali
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Namtumbo MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amefungua masoko ya ufuta,soya na mbaazi kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani na TMX wilayani Namtumbo. Katika uzinduzi wa mnada wa kwanza mkoani Ruvuma katika zao la…
TANROADS yaweka kambi kurejesha mawasiliano barabara ya Tingi -Kipatimo Lindi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads) mkoa wa Lindi imeweka kambi ili kuhakikisha unarejesha mawasiliano katika barabara ya Tingi hadi Kipatimo wilayani Kilwa ambayo iliathiriwa na mvua za El-Nino na kimbunga Hidaya. Kwa pamoja majanga hayo…
Mwiba uliomkwama mtoto kwenye koo waondolewa na madaktari bingwa wa Samia
WAF – Tanga Jopp la madaktari bingwa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan waliokita kambi kwenye Hospitali ya Jiji la Tanga iliyopo Kata ya Masiwani wamefanya upasuaji wa kuondoa mwiba uliokwama kwenye koo la mtoto mdogo wa mwaka mmoja na…





