Category: Habari Mpya
TMA : Hakuna tena tishio la kimbunga Ialy nchini
Dar es Salaam, 22 Mei 2024 Saa 4 Usiku:Taarifa hii inahitimisha mfululizo wa taarifa za kilichokuwa Kimbunga “IALY” zilizokuwa zikitolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) tangu tarehe 17 Mei 2024. Mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa…
Tanzania kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza la Usalama na Amani Afrika
Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeaminiwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika ambapo katika maadhimisho hayo ya miaka 20 tanayotarajiwa kufanyika Mei 25,2024 jijini Dar es Salaam…
Moshi wa jenereta wawaua wanafunzi wa Nigeria
Takriban wanafunzi saba wa chuo kikuu wamefariki baada ya kuvuta moshi kutoka kwa jenereta katika studio ya muziki katika jimbo la Bayelsa lenye utajiri wa mafuta nchini Nigeria. Vijana hao wanasemekana kufanya kazi hadi Jumatatu usiku na kulala kwenye studio…
RC Simiyu akerwa jenereta kushindwa kutumika kwa ukosefu wa chumvi, mkaa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda ametoa siku tano kwa Mkuu wa Wilaya ya Busega, Faidha Salim pamoja na Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Michael Kachoma kuhakikisha jenereta ya Hospitali ya Wilaya ya Busega…
Serikali yajenga daraja Ruhembe
Wananchi wa Kata za Ruhembe, Kidodi, Uwembe, Vidunda, Mikumi na Kilolo waliokuwa wakiteseka kwa muda mrefu kusafiri umbali mrefu au kuzunguka kwenye mashamba ya miwa kuzifikia huduma za kijamii kwa sasa wanaondokana na adha hiyo baada ya serikali kujenga daraja…
Majaliwa : Vyombo vya habari vijiepushe na habari za uchochezi
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa sekta ya habari ziendelee kusimamia vyombo vya habari vizingatie maadili na kujiepusha na uchapishaji wa taarifa na picha zinazochochea uvunjaji wa maadili, mila na desturi za Kitanzania. Pia, Waziri Mkuu…





