JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Prof. Janabi : Viongozi wenzangu toeni maamuzi na kutatua changamoto kwa wakati

Na MwandishibWetu, JamhuriMesldia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Mohamed Janabi amewataka viongozi wa hospitali hiyo kutoa maamuzi na kutatua changamoto zinazojitokeza katika maeneo yao ya usimamizi kwa wakati ili kuendelea kutoa huduma bora. Prof….

Iran kufanya uchaguzi mkuu wa rais Juni 28

Iran imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa rais mnamo Juni 28, 2024 kufuatia kifo cha rais Ebrahim Rais na maafisa wengine katika ajali ya helikopta wakati mazishi yakitarajiwa kufanyika Jumanne. Ripoti za vyombo vya habari vya taifa nchini Iran, zinasema kuwa…

Tanzania yang’ara ajenda ya maji kwa ustawi wa wote

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb), Waziri wa Maji amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) linalofanyika Bali nchini Indonesia…

Serikali: Teknolojia na ubunifu ni muhimu kuchagiza maendeleo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam SERIKALI imesema teknolojia na ubunifu ni muhimu katika kuchagiza maendeleo katika Taifa. Pia imesema itahakikisha inakuza sayansi, teknolojia na ubunifu nchini , kwalengo la kuchagiza maendeleo na kusaidia kufanyika kwa tafiti zinazojibu changamoto…

Tanzania yaunga mkono uamuzi wa SADC – Majaliwa

Ni kuhusu mbinu za uvunaji wa maji na udhibiti wa mafuriko WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania inaunga mkono uamuzi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) juu ya kuongeza mbinu za uvunaji wa maji, udhibiti wa mafuriko…