Category: Habari Mpya
Tanzania ya kwanza kusaini mkataba wa kituo cha huduma ya dharura cha maafa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Dodoma Tanzania imekuwa nchi ya kwanza miongoni mwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC, kusaini mkataba wa kuanzishwa kituo cha huduma za kibinadamu na oparesheni za dharura za kanda. Akizungumza mapema hii…
Serikali: Wamiliki wa viwanda zingatieni sheria ya mazingira
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imewataka Wawekezaji na wamiliki wa viwanda nchini kuzingatia Sheria ya Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira zilizoanishwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi Mazingira(NEMC) wakati wa uanzishaji, uendelezaji wa viwanda nchini. Agizo hilo limetolewa jana…
Tembo wachelewesha SGR, Gwajima rukhsa treni binafsi
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Umuhimu wa uhifadhi wanyamapori hususan tembo umesababisha kuchelewa kuanza kwa majaribio ya safari za treni ya SGR, maarufu kama treni ya mwendokasi nchini; imeelezwa. Safari za majaribio zilitarajiwa kuanza mwezi huu kati ya Dar es…
MOI yafanya upasuaji kuondoa uvimbe kwenye ubongo kutumia pua
Taasisi ya tiba ya Mifupa na Milango ya fahamu (MOI) imefanya Upasuaji mkubwa wa Kuondoa Uvimbe kwa kuingia kwenye uvungu wa Ubongo kwa Kutumia tundu za Pua za Mgonjwa pamoja na kufanya Upasuaji mwingine kwa mgonjwa aliyekuwa akisumbuliwa na Uvimbe…
TMA: Mvua za msimu wa masika kuwa za wastani
Mamlaka ya Hali ya Hali ya Hewa nchini TMA, imetangaza kuwa msimu wa mvua za masika zinatarajiwa kuwa za wastani hadi chini ya wastani huku maeneo mengine yakipata mvua za wastani hadi juu ya wastani Akizungumza na vyombo vya habari…
Rais Samia awatakia Kwaresma njema Wakristo wote
Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani amewatakia Kwaresma njema Wakristo wote na kuwataka kuendelea kuiombea nchi na Dunia nzima amani na upendo.





