JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais Samia na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umaoja wa Falme za Kiarabu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Shakhboot Bin Nahyan aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Tunguu Zanzibar leo Februari…

RPC Ruvuma atoa elimu kwa madereva wa maroli

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Mbinga Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma ACP Marco Chilya amewataka madereva wa malori yatokayo ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kubeba makaa ya mawe mkoani Ruvuma kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao wakizingatia sheria na kanuni za…

Serikali yadhamiria kupunguza tataizo la umeme Pwani

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani alhaj Abubakari Kunenge, amepokea transforma kubwa sita katika mradi wa kituo cha kupoza na kupokea umeme cha Chalinze ,zenye uwezo wa megavoti 250 kwa gharama ya Bilioni 7.5 kila moja. Kuwasili kwa…

Tumbi yaanza kutoa huduma ya kusafisha damu, CT-Scan

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani HOSPITAL ya Rufaa ya mkoa ya Tumbi, Mkoani Pwani imeanza kutoa huduma ya kusafishwa damu pamoja na mashine za CT-scan pamoja na X-ray za kielektroniki. Mkuu wa Mkoa wa Pwani alhaj Abubakari Kunenge, ameeleza neema hiyo kwa…

CBE yatambia mitaala inayokwenda na wakati

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mpango wa kuwasaidia wanafunzi wajasiriamali kuendeleza biashara zao au kuatamia mawazo ya biashara zao utakuwa wa manufaa makubwa. Chuo kimesema lengo la kufanya hivyo ni kutatua tatizo kubwa la ajira…