Category: Habari Mpya
Mufti atengua uteuzi wa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam
Baraza la Ulamaa katlika kikao chake ilichofanyika tarehe O1 na 2 Februari jjini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir bin Ally LIMETENGUA uteuzi wa Sheikh Alhad Mussa Salum kama Sheikh…
Ahukumiwa jela maisha kwa kosa la ulawiti
Kijana wa miaka (19) Juma Mussa Mkazi wa mtaa wa Uzunguni kata ya Malolo katika Manispaa ya Tabora amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka mitano (5) . Akitoa hujumu hiyo Hakimu…
Majaliwa: Serikali itaendelea kusimamia weledi kwa watumishi wa umma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia weledi, kanuni na taratibu zilizowekwa kwenye kila sekta ya utumishi wa umma. Aidha, pale patakapojitokeza uvunjifu wa maadili na miiko iliyowekwa, hatua…
Mhoja ataka vyama vya ushirika kusimamiwa kikamilifu
Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea MRAJIS msaidizi wa vyama vya ushirika Mkoa wa Ruvuma,Peja Mhoja amewataka mameneja wa vyama vya msingi na vyama vikuu vya ushirika, kutumia mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (MUVU )mfumo ambao utakwenda kurahisisha zoezi la upatikanaji…
Jaji Mkuu:Usuluhishi unachochea uchumi, amani
Na Mary Gwera,Mahakama-Dodoma Jaji Mkuu wa Tanzania,Prof. Ibrahim Hamis Juma ametoa rai kwa umma kujielekeza zaidi kwenye utatuzi wa migogoro mbalimbali kwa njia ya Usuluhishi ili kukuza uchumi, kuokoa muda na hatimaye kupunguza mlundikano wa mashauri mahakamani. Akizungumza wakati wa…





