Category: Habari Mpya
Ajali yaua saba na kujeruhi kumi Bagamoyo
Watu saba wamefariki dunia na wengine kumi kujeruhiwa katika ajali ya gari ya abiria aina ya Coster iliyogongana uso kwa uso na gari ya mizigo aina ya Canter maeneo ya kiwangwa Bagamoyo leo asubuhi Januari 9, 2023. Mmoja wa majeruhi…
Rais Samia aliahidi, umma wasubiri MSA 2016 kufumuliwa
Na Stella Aron,JamhuriMedia DHAMIRA njema inayooneshwa wazi Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ni wazi kuwa itafanikisha kiu ya mchakato wa mabadiliko ya sheria ya huduma za habari nchini. Hatua hiyo inatokana na wasaidizi wa…
Kikwete aanza ziara na kukagua miradi ya maendeleo
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Chalinze Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete, ameanza ziara jimboni kwake . Katika ziara hiyo amekagua ujenzi wa madarasa 13 kata ya…





