JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tarangire hifadhi yenye tembo wengi wanaoishi eneo moja Afrika

Vita ya kutaka kuwinda wanyamapori baina ya makampuni yameingiza katika mgogoro Jumuiya ya Hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori ya Burunge, Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara, baada ya Spika wa Jumuiya hiyo kutangaza Kitalu cha uwindaji kipo wazi bila ridhaa…

TAWA wakabidhi rasmi hifadhi ya Mbambabay kwa ajili ya uwekezaji

Serikali mkoani Ruvuma kwa kutambua umuhimu wa uhifadhi umewakabidhi Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) hati ya kukabidhiwa visiwa vya Lundo,Mbambabay na milima ya Mbamba na tumbi,yenye jumla ya hekari 597 kwa ajili ya uhifadhi. Mkuu wa Mkoa wa…

Serikali:Sanaa yetu inachangia kuitangaza nchi kimataifa

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema sekta ya Sanaa inamchango kubwa katika kuitangaza nchi kimataifa kupitia kazi za Sanaa zinazofanywa na Wasanii. Dkt. Abbasi amesema hayo Novemba 12, 2022 wakiwa katika ziara ya kutembelea…

EWURA: Watanzania tembeleeni RUAHA mjionee

Na Mwandishi Wetu,Iringa Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Leo 11 Nov 2022, wamezuru Hifadhi ya Wanyama Ruaha kujionea vivutio mbalimbali na kuchangia ukuaji wa mapato yatokanayo na utaliinchini. Wajumbe…

HESLB yafungua dirisha la rufaa kwa siku saba kwa waombaji mikopo

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Novemba 13, 2022) imetangaza kufunguliwa kwa dirisha la rufaa ili kutoa fursa kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na viwango vya mikopo walivyopangiwa kuwasilisha taarifa za uthibitisho ili kuongezewa…

Serikali kuchukua jitiahada za karibu, usawa wa kijinsia

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo Ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula amesema Serikali imeendelea kuweka jitihada mbalimbali zitakazoleta usawa wa kijinsia katika jamii kwa uharaka zaidi. Dkt. Chaula ameyasema hayo katika kikao Kazi kilichojumuisha Wakurugenzi wa Sera…