Category: Habari Mpya
Mufti wa Tanzania awapongeza marais wa Bara na Visiwani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mufti mkuu wa Tanzania Shekh Abubakar Zuberi amewapongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Rais wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi kwa uzalendo wao uliotukuka wa kutunza na kuzilinda tunu za…
Mwenyekiti ALAT DourMohamed akoshwa utekelezaji miradi ya maendeleo Mbarali
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbarali MWENYEKITI Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa (ALAT), Mkoa wa Mbeya na Meya wa Jiji la Mbeya, Dourmohamed Issa ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kwa utekelezaji bora wa miradi ya maendeleo…
Waziri Kairuki kumwakilisha Rais Samia mkutano wa Kimataifa wa Miombo Washington
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo utakaofanyika Aprili 16-18,2024 jijini Washington DC nchini…
Wakulima Kanda ya Ziwa wana uelewa hafifu wa matumizi sahihi ya mbolea
Na Mwandishi Wetu ,JamuhuriMedia, Mwanza Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imesema wananchi wa Kanda ya Ziwa wanakabiliwa na changamoto ya uelewa mdogo wa matumizi sahihi ya mbolea katika shughuli zao za kilimo. Sababu nyingine kutokuzingatia suala…
RPC Lutumo akemea vitendo vinavyoashiria rushwa kwa askari Polisi Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Pwani, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Pius Lutumo amekemea vitendo vyenye viashiria vya rushwa kwa askari polisi ,na kusisitiza hatowafumbia macho askari watakaobainika kujihusisha na kuomba ama kupokea…
Tanzania ya nne kwa kuwa kutokuwa na vifuko salama Afrika
Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imetajwa kuongoza miongoni mwa nchi nne zisizo na usalama wa viivuko Barani Afrika, kwa mujibu wa tafiti za kidunia imefahamika. Hayo yamebainishwa kwenye mkutano wa Kimataifa wa Wadau wa Usalama wa Vivuko…





