Category: Kimataifa
Burundi yakabiliwa na uhaba wa umeme, baadhi ya huduma zasimama
Sehemu kubwa ya Burundi haina umeme tangu Jumatatu, huku mji mkuu wa Bujumbura ukiwa umeathirika pakubwa wakati nchi hiyo pia ikikabiliwa na uhaba mkubwa wa mafuta. Wakazi wa baadhi ya vitongoji wamesema wanateseka kwa kuishi karibu wiki nzima bila umeme,…
Israel kujadili kutanua operesheni za kijeshi Gaza
Baraza la usalama la Israel linakutana kujadiliana kuhusu uwezekano wa kutanua operesheni zake za kijeshi kwenye Ukanda wa Gaza, hatua ambayo ikiwa itakubalika itatekelezwa licha ya upinzani mkali kutoka ndani. Hatua hii pia inapingwa na familia za mateka wa Israel…
Zelensky: Mkutano wa Trump na Putin usaidie kumaliza vita
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema leo kwamba malengo yake juu ya mkutano kati ya Marekani na Urusi kuhusu vita nchini mwake ni kwa Urusi kuacha kuwaua Waukraine na kukubali kusitishwa kwa mapigano. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema leo…
Uingereza yaweka sheria kudhibiti upasuaji wa kubadili maumbile
Serikali ya Uingereza imetangaza mipango ya kukabiliana na biashara ya upasuaji kwa ajili ya kuboresha muenekano ikiwemo kuongeza makalio, kuongeza ukubwa wa viungo kama midomo na kuondoa makunyazi usoni. Hatua hizo zinadhamiria kuwalinda watu walioko chini ya umri wa miaka…
Trump kukutana na Putin
Rais wa Marekani Donald Trump amesema huenda akakutana na rais wa Urusi Vladimir Putin hivi karibuni kabisa. Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa akijibu swali aliloulizwa na waandishi habari katika ikulu yake ya White House mjini Washington ni lini atakapokutana…
NATO kuwasilisha kiwango kikubwa cha silaha kwa Ukraine
Muungano wa kijeshi wa NATO unaratibu ufikishaji wa kawaida wa silaha kubwa kwa Ukraine baada ya Uholanzi kusema itatowa mfumo wa ulinzi wa anga, risasi na msaada mwengine wa kijeshi wenye thamani ya euro milioni 500. Sweden pia ilitangaza siku…




