Category: Kimataifa
BENJAMIN NYETANYAHU AKUTANA NA TRUMP KUJADILI TISHIO LA IRAN
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu yuko mjini Washington kukutana na Rais Donald Trump kutafuta njia za kuzuia jeshi la Iran kuongeza himaya yake Mashariki ya Kati. Mazungumzo hayo yamekuja wakati Trump anajaribu kupima iwapo ni busara kwa Marekani kujiondosha…
BAADHI YA WAUGANDA WAMKOSOA RAIS MUSEVENI KWA HATUA ALIYOICHUKUA, YA KUWAFUKUZA IGP NA WAZIRI WA ULINZI
Habari za kufukuzwa kazi Jenerali Kale Kayihura katika nafasi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Luteni Jenerali HenryTumukunde kama waziri wa ulinzi zimepokelewa kwa hisia tofauti na wasomaji wa mitandao nchini Uganda. Wengi wa wachangiaji katika mitandao ya jamii…
RIPOTI MAALUM YABAINI KIKUNDI CHA ADF KILIHUSIKA NA MAUAJI YA ASKARI WA TANZANIA NCHINI DRC RC
Kikundi cha waasi wa Alliance of Democratic Forces (ADF) kimetajwa na ripoti maalum ya uchunguzi uliofanywa na Umoja wa Mataifa kuwa kilihusika na mauaji ya askari wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa…
Manowari ya Marekani yatia nanga Vietnam
Mamowari ya Marekani Carl Vinson inafanya ziara ya kihistoria nchini Vietnam kwa mara ya kwanza kwa meli ya aina hiyo kuzuru Vietnam tangu vita kumazilika. Manowari hiyo inayotumia nishati ya nyuklia itatia nanga katika bandari wa Danang ambapo wanajeshi wa…
Mtu Mmoja Ajitandika Risasi Nje ya Ikulu ya Marekani
Mwanamume mmoja amejipiga risasi na kujiua nje ya Ikulu ya Marekani ya White House mjini Washington, kikosi cha kumlinda rais kimesema Kikosi hicho kilisema kuwa mwanamume huyo alikaribia ua unaozunguka Ikulu katika barabara ya Pennsylvania kabla ya kuchomoa bunduki na…
BAADA YA RAIS TRUMP KUTOA KAULI TATA, KUHUSU BARA LA AFRIKA, SASA WAZIRI WAKE REX TILLERSON KUJA AFRIKA
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson, anatarajiwa kufanya ziara ya siku nane barani Afrika kuanzia Jumanne wiki ijayo. Hii itakuwa ziara yake ya kwanza kwenye bara hilo kama waziri. Taarifa iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje ya…