Category: MCHANGANYIKO
MAJALIWA:TUPO TAYARI KWA FAINALI ZA AFCON 2019
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo tayari kwa maandaalizi ya fainali za michuano ya Afrika ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 mwaka 2019. Mashindano ya mpira wa miguu kwa Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 AFCON…
SIMBA YABEBA KOMBA WAKIWA KWENYE VITI WAKIKUNYA NNE, BAADA YA YANGA KUFUNGWA 2-0 NA PRISONS
Simba wanakabidhiwa ubingwa wakiwa mjini Singida hata kabla ya kuivaa Singida katika mechi yao ya Ligi Kuu Bara, keshokutwa Jumamosi. Hii inatokana na waliokuwa mabingwa watetezi, Yanga kufungwa kwa mabao 2-0 dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya….
Sugu Ametolewa kwa Msamaha wa Rais Magufuli
Jeshi la Magereza limeeleza kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ pamoja na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wameachiliwa huru kwa msamaha wa Rais uliotolewa katika maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar….
Yanga Yachezea Kichapo cha Mbwa Mwizi Kutoka kwa USM Alger (4-0)
Kikosi cha Yanga kimeanza vibaya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika katika hatua ya makundi kwa kukubali kichapo cha mabao 4-0 kutoka kwa USM Alger katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Julai 5 1962. Yanga iliyokuwa inawakosa nyota…
Real Madrid Yaikomalia Barcelona Camp Nou
Baada ya ubishi na headlines za muda mrefu kuhusiana na mchezo wa El Clasico kati ya FC Barcelona dhidi ya Real Madrid katika uwanja wa Camp Nou ni timu gani itaibuka mbabe dhidi ya mwenzake, hatimae usiku wa May…





