JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali yaongeza Tahasusi (Combination) mpya 49

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeongeza Tahasusi (Combination) mpya 49, kutoka 16 zilizokuwepo awali hadi kufikia Tahasusi 65. Tahasusi hizo mpya zitakazoanza kutekelezwa Julai, 2024…

Nchimbi: Watanzania wanajivunia miaka mitatu ya uwezo mkubwa wa Rais Samia

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia uwezo mkubwa wa kiuongozi, anaouonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka…

Mwalimu Mkuu Geita afikishwa kortini kwa kughushi 1,500,000

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Machi 18, 2024, shauri la rushwa na uhujumu uchumi Na. 7060/2024, lilifunguliwa mbele ya Atupye Benson Fungo ambaye ni Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Mbogwe dhidi ya Ambakisye Amani Mfwango ambaye ni mwalimu…

Onyo latolewa kwa, wanaoweka ‘vipipi’ sehemu za siri

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ongezeko la dawa asili zinazodaiwa kuondoa changamoto za kike sehemu za siri, ikiwamo kupunguza majimaji, kulegea na kuongeza joto imebainika hazijasajiliwa, pia ni hatari kwa afya. Baadhi ya dawa hizo ni vipipi, mbano…

Mafunzo usalama barabarani kuzifikia wilaya zote Tanga, madereva bodaboda kunufaika

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Tanga Mafunzo ya Usalama barabarani yanayotolewa na Amend Tanzania kwa ufadhili wa Ubalozi wa Uswisi nchini kwa madereva bodaboda jijini Tanga sasa yanatarajiwa kutolewa katika wilaya zote za Mkoa wa Tanga ,lengo likiwa kuwafikia madereva wengi zaidi…

Kaya 77 zenye watu 463 zaagwa Ngorongoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ngorongoro Kaya 77 zenye watu 463 na mifugo 1,408 waliohama kwa hiari kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Msomera wameagwa leo katika ofisi za mamlaka ya hifadhi hiyo. Ofisa Uhifadhi Mkuu, Flora Assey ambaye ni meneja mradi…