Category: Biashara
NMB yaanzisha ufunguaji akaunti ndani ya dakika mbili
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Zama mpya ya huduma za kibenki imejili nchini baada ya Benki ya NMB jana kuzindua suluhisho ya kisasa inayomwezesha mteja kufungua akaunti kidijitali na kuanza kuitumia ndani ya dakika mbili tu. Hatua hiyo kubwa inaongeza msukumo mpya…
FCC yawaomba wafanyabiashara kuzingatia ubora kwenye bidhaa zao
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Tume ya Ushindani ( FCC), imetoa wito kwa Wazalishaji wa bidhaa hapa nchini kuhakikisha bidhaa zao wanazifanya ziwe na mwonekano mzuri ili kuwavutia wateja pamoja na kukabiliana na ushindani wa soko uliopo kwa sasa. Rai hiyo imetolewa…
Halotel kuwapatia wanafunzi wa vyuo salio la bure
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Katika juhudi zake za kusaidia sekta ya elimu hapa nchini, Kampuni ya Halotel imekuja na ubunifu mwingine katika kutoa huduma zake kwa wateja. Leo kampuni imetangaza huduma mpya inayolenga kuchochea usomaji kwa wanafunzi wa elimu ya juu…
Uboreshaji bandari unahitaji uwekezaji
Na Stella Aron,JamhuriMedia NI lini Tanzania itaandika historia yake kwa kujiweka imara na kukuza uchumi kupitia biashara iliyoongezeka, kuvutia uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni na kutengeneza ajira kupitia bandari ya Dar es Salaaam. Kuna maswali mengi ambayo hukosa…
TRA yaibuka mshindi wa jumla tuzo za NBAA
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeshinda tuzo mbili ikiwemo mshindi wa jumla katika uandaaji bora wa taarifa za hesabu mwaka 2021 kwa kufuata viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu katika Taasisi za Umma yaani mfumo wa…
NMB yaibuka kinara tuzo za TRA
Benki ya NMB imeibuka kinara katika tuzo za mlipa kodi mkubwa zinazotolewa na Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA). Benki hiyo imeshinda tuzo tatu zinazoitambua kama mlipa Kodi Mkubwa nchini kwa mwaka 2021/2022. Tuzo hizo ni mshindi wa kwanza; taasisi inayozingatia…





