JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Makamba:Serikali imendaa mjadala wa nishati safi ya kupikia

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Serikali imesema imeandaa mjadala wa Nishati Safi ya Kupikia ili kuwepo na Sera, Sheria, Kanuni na Mifumo ya Udhibiti wa Nishati Chafu ya kupikia ikiwemo mkaa na kuni na kutumia nishati safi,salama na endelevu ili kusaidia uhifadhi…

Rais Samia aagiza kuundwa kikosi kazi cha kudhibiti matumizi nishati

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia,Dar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Nishati Kuunda kikosi kazi kitakachoshughulikia sera za nishati mbadala ili kufikia malengo ya serikali yakutumia nishati safi ya kupikia. Raisi Samia ametoa agizo hilo…

Koyi: Mimi ni Rais halali TCCIA

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Rais wa Chemba ya Biashara,Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), Paul Koyi amesema yeye ni kiongozi halali wa chemba hiyo kwa mujibu wa katiba. Koyi ametoa kauli hiyo siku moja tu, baada ya baadhi ya wanachama wa chemba…

Tanzania ina idadi ya watu milioni 61.7

Rais Samia Suluhu Hassan amezindua matokeo ya Sensa ya Watu na Mkazi kwa mwaka 2022 ambapo amesema kuwa Tanzania ina watu milioni 61, 741, 120. Akizindua matokeo ya Sensa leo Oktoba 31,2022 katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma na kuhudhuriwa…