JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Waziri Ummy:Bima ya afya haitakuwa na matabaka

Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema Muswada wa bima ya afya unalenga kutoa huduma za matibabu kwa wananchi wote bila kujali tajiri au maskini hivyo hautakua na matabaka. Waziri Ummy amesema hayo leo 18 Oktoba 2022 wakati akiwasilisha muswada huo…

Serikali:Kila la heri Serengeti Girls

Na Shamimu Nyaki,JamhuriMedia Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul ameitakia kila la heri Timu ya Wasichana chini ya miaka 17, (Serengeti Girls) katika mechi ya mwisho ya Kundi D dhidi ya Canada, itakayochezwa leo, Uwanja wa DY…

Yanga ‘Out’ Ligi ya Mabingwa

Timu ya Yanga imetupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa 1-0 na Al Hilal katika mchezo wa marudiano Hatua ya 32 Bora Uwanja wa Al Hilal mjini Omdurman nchini Sudan. Bao lililoizamisha Yanga limefungwa na…

Simba yatinga hatua ya makundi Ligi Mabingwa Afrika

Klabu ya Simba imefanikiwa kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa timu ya Primeiro de Agosto ya nchini Angola 1-0 na kuwa jumla ya mabao 4-1 baada ya mechi ya kwanza Simba Sc kushinda 3-1 ugenini….

Ari, bidii na uzalendo imetuletea ushindi dhidi ya Ufaransa

Na Shamimu Nyaki- India Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul ameipongeza timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17 (Serengeti Girls) kwa ushindi wa magoli mawili kwa Moja dhidi ya Ufaransa. Mechi hiyo ya Kundi D…