Category: Maoni ya Mhariri
KUNA MAMBO PAUL MAKONDA ANAPATIA
Naungana na Watanzania wote kutoa pole kwa familia ya Komredi Kingunge Ngombale-Mwiru, kutokana na kifo cha mwamba huo wa siasa katika Taifa letu. Mzee Kingunge atakumbukwa kwa umahiri wake wa kujenga hoja na weledi aliojaaliwa na Mwenyezi Mungu, hata akaweza…
Chama cha Siasa ni Umoja
Wapo wanasiasa nchini ambao wamezua mtindo wa kuhama kutoka chama kimoja cha siasa na kujiunga na chama kingine. Na wakati mwingine wamekuwa wakihama kwenda chama kingine, lakini baadaye wakirudi katika chama cha awali. Sababu zinazoelezwa kuhusiana na hatua hiyo ni…
Chama cha Siasa ni Umoja
Wapo wanasiasa nchini ambao wamezua mtindo wa kuhama kutoka chama kimoja cha siasa na kujiunga na chama kingine. Na wakati mwingine wamekuwa wakihama kwenda chama kingine, lakini baadaye wakirudi katika chama cha awali. Sababu zinazoelezwa kuhusiana na hatua hiyo ni…
Nyerere: Huwezi Kuwadanganya Wote
“Unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda fulani na baadhi ya watu wakati wote, ila hauwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote.” Haya ni maneno yaliyojaa hekima yaliyotolewa na Baba wa Taifa na Rais wa Awamu ya Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius…
Familia Yadai ‘Kutapeliwa’ Nyumba Kinondoni
Familia ya Mohamed Msabaha (95) ya jijini Dar es Salaam inadai `kutapeliwa’ nyumba ya mzazi wao huyo kwa madai kuwa mnunuzi alimlaghai, hivyo wameiomba Serikali iwasaidie kuirejesha. Nyumba hiyo inadaiwa kununuliwa na mtu anayetajwa majina ya Hussein Mkufya, kwa makubaliano…
Tusifanye Makosa Kurejea Kwenye Chama Kimoja
Kwa muda sasa Watanzania wameshuhudia wimbi kubwa la madiwani na wabunge wanaovihama vyama vyao. Walianza madiwani watano wa Arumeru Mashariki, wakafuata wenzao mkoani Kilimanjaro, kisha ikawa zamu ya wengine watatu wa Manispaa ya Iringa. Hawa wote walikuwa wa Chama cha…





