CCM wa kweli wakiri hili

Wale wa rika langu, ama wamezaliwa, au wamelelewa na sasa wanaelekea kuzeeka ndani ya malezi yenye misingi iliyojengwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Watanzania wengi waliozaliwa kabla ya mwaka 1992 wanaijua CCM, na kwa kweli hawana namna ya kukwepa kuizungumza, kuijadili na wakati mwingine kuikosoa. Haishangazi kuwaona baadhi ya wanachama na viongozi walio nje ya…

Read More

Naiona Serikali ya Mseto

Wale wanaopenda kutazama runinga wanaona kwa macho yao namna siasa za Tanzania zinavyobadilika kwa kasi kila siku. Mwishoni mwa wiki walionekana wananchi kwenye maeneo kadhaa katika vijiji vilivyopo mikoa ya Arusha na Tanga wakichoma na wengine wakichana kadi zao za uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kilichowashitua watazamaji wengi, si matendo ya kuchana au kuchoma…

Read More

Tunamhitaji Rais Mtendaji Mahiri, Jasiri

Wanaowania urais wa Awamu ya Tano Tanzania, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), walianza kuchukua fomu mjini Dodoma Jumatano Juni 3, 2015. Inaonekana wengine waliokuwa wanatajwatajwa, wanasita, hawajajitokeza kugombea, hawajachukua fomu! Labda watajitokeza baadaye, au wanaona hawana nafasi nzuri. Lakini jambo la kusikitisha ni ile hali ya kupakana matope iliyojitokeza wakati baadhi wagombea hao…

Read More

Pinda angepumzika tu

Miaka kadhaa iliyopita, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliwaita wahariri wa vyombo vya habari ofisini kwake, Dar es Salaam. Akazungumza mambo mengi. Nilipata bahati ya kualikwa, na ya kumuuliza swali. Swali langu, ukiacha ule mgogoro alioshindwa kuutatua- mgogoro wa ardhi Kwembe-Kati, lilihusu ukwasi alionao. Akatoa maelezo marefu kwa kusema ana nyumba za kawaida- Pugu, Dar es…

Read More