Kikwete na uteuzi dakika za mwisho

Rais Jakaya Kikwete, wiki ijayo atakuwa ameingia kwenye orodha ya marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa kiongozi aliyechaguliwa mara mbili, na kufanikiwa kumaliza kipindi chake cha miaka 10 salama, si busara sana kuendelea kumjadili au kumkosoa. Watu waungwana wangependa kumwona kiongozi wetu anapumzika salama; na kwa maana hiyo ushauri wetu unapaswa kuelekeza…

Read More

Tuwe tayari kuyakubali mabadiliko

Kadiri Uchaguzi Mkuu unavyokaribia, ndivyo joto lake linavyozidi kupanda miongoni mwa wafuasi wa vyama mbalimbali vya siasa. Watanzania wanataka mabadiliko. Ni kwa sababu hiyo, wagombea wakuu wa urais, Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), anasikika akisisitiza mabadiliko. Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John…

Read More

Mkicheka na wamachinga watatundika mitumba Ikulu

Kampeni za Uchaguzi Mkuu zinaendelea. Mengi yanazungumzwa na wagombea na wafuasi wao. Ahadi nyingi za wagombea urais zinalenga kuwashawishi wapigakura wawachague. Zipo ahadi zinazofanana. Elimu, maji, vita dhidi ya mafisadi na wala rushwa, mikopo kwa wajasiriamali, ajira na ukomeshaji aina zote za uonevu katika jamii, ni baadhi tu ya ahadi zinazowavutia wengi. Bila shaka kinachofanywa…

Read More

Kosa la Dk. Magufuli ni kusimamia sheria?

Nimesoma makala ya rafiki na kaka yangu Joster Mwangulumbi, iliyokuwa na kichwa cha habari: “Yako mengi tunayopaswa kuyatafakari”. Makala hiyo fupi, lakini kali, inamhusu mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli. Aya moja inasema: “Rais Kikwete na makanda wengine wanampamba Dk. Magufuli kwa sifa kwamba ni mzalendo, mwadilifu, mchapakazi na hana makuu,…

Read More