Category: Siasa
Malengo ya Kazi (1)
Hotuba ya Rais Mwalimu Julius Nyerere kwenye Sherehe ya Kufungua Kiwanda cha Nguo Ubungo Dar es Salaam Julai 6, 1968
Tumekubali kuwa punda wa Wakenya
Biashara zinahitaji akili za kisasa
Wiki mbili zilizopita, nilipata wasaa wa kuongea kwa kirefu kwa njia ya simu na mjasiriamali kutoka mkoani Singida. Katika mazungumzo yetu mjasiriamali huyu wa miaka mingi alilalamika namna biashara zilivyobadilika nyakati hizi na namna ushindani unavyotishia mustakabali wake.
Mjasiriamali huyu alinipa mifano ya namna zamani alivyokuwa akipata faida kubwa katika bidhaa mbalimbali. Anaeleza, “Zamani nilikuwa nakwenda Dar es Salaam na kununua unga wa ngano kwenye mifuko ya kilo 50, nikija hapa Singida nikiuza kwa jumla ninapata faida ya hadi shilingi elfu tano. Leo hii mfuko wa unga wa kilo 50 huwezi amini, ninapata faida isiyozidi shilingi mia tano!
KAGAME NI MTIHANI
Viongozi Maziwa Makuu waufanye kwa uangalifu
Kama kuna nchi ambayo imeweza kurithi vilivyo udanganyifu wa kisiasa na unafiki ambavyo himaya kuu ya zamani ya ‘Roma’ ilikuwa navyo, basi ni Taifa kubwa la sasa ‘Marekani’.
Hakika Marekani ndiyo dola kubwa linaloongoza kwa kuwa ‘wakili wa shetani (the devil’s advocate)’.
Katika enzi hizi za Marekani kuwa dola kubwa, yaani kuwa babeli mkuu, damu ya watu wasio na hatia na wasioujua hata huo ubepari wenyewe imemwagika mno na hakuna hata chembe ya soni au hatia ambayo Marekani imejivisha. Hakika imekuwa Roma. Roma ya ustaarabu na sheria vilivyoleta mateso yasiyomithilika.
Kwanini Zanzibar?
Hili ni swali linalogonga vichwa vya wananchi wengi siku hizi. Hivi karibuni kule bungeni Dodoma kulitokea kadhia kubwa iliyosababisha baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kususia vikao na kutoka nje ya bunge hili.
Tangu lini wapinzani wanawapenda wananchi?
Vyama vya upinzani vilivyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) katika Bunge Maalum la Katiba vimesusia vikao vya bunge hilo tangu Aprili 16, mwaka huu.
Wapinzani wametoa sababu zao za kuchukua hatua hiyo. Kwa mfano, wamesema Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, wametoa vitisho kwamba kukiwapo Serikali tatu Jeshi litachukua nchi.
- Msigwa: Michezo ni daraja la urafiki kati ya Tanzania na China
- TANESCO Kimbiji yawasogezea huduma wananchi, yatoa elimu matumizi ya nishati safi ya kupikia
- NMB Foundation, Mercy Corps wasaini mradi wa bil. 2.6/- kukuza biashara
- Bangu :Ajira 31,875 zimezalishwa kupitia WRRB
- Alama ya Ubora ya Afrika Yazinduliwa
Habari mpya
- Msigwa: Michezo ni daraja la urafiki kati ya Tanzania na China
- TANESCO Kimbiji yawasogezea huduma wananchi, yatoa elimu matumizi ya nishati safi ya kupikia
- NMB Foundation, Mercy Corps wasaini mradi wa bil. 2.6/- kukuza biashara
- Bangu :Ajira 31,875 zimezalishwa kupitia WRRB
- Alama ya Ubora ya Afrika Yazinduliwa
- Chatila afunguka mipango ya kuibadili Ujenzi Sports Club
- Bandari ya Mtwara yawania kuteka soko kubwa zaidi ndani ya SADC
- Wakulima waonja matunda ya stakabadhi za ghala, mauzo yapanda kwa asilimia 43.6
- ASGM yazalisha asilimia 40 ya dhahabu Tanzania, matumizi ya zebaki yaendelea kuwa changamoto
- Wadau wahamasisha teknolojia mbadala kupunguza matumizi ya zebaki migodini
- Prof. Nombo: Ujuzi wa kisasa ni nguzo ya viwanda na teknolojia
- Mbio za mwenge zazindua mradi wa nishati safi Simiyu
- Morocco, Tanzania zaimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kidiplomasia
- Rais Samia athibitisha nia ya maridhiano kuelekea mchakato wa maboresho wa katiba, ateta na viongozi vyama vya siasa
- Morcase : Binti miaka 16 amuua mama yake kisa kukatazwa kwenda ‘birthday’
Copyright 2025