Category: Siasa
Rais nje ya nchi kwa nusu mwezi!
Wiki iliyopita nilikuwa mkoani Mara. Nilifika katika Kijiji cha Sabasaba wilayani Butiama, mahali ambako roho takribani 40 za Watanzania zilipotea katika ajali iliyohusisha magari matatu — mawili yakiwa mabasi ya abiria yanayofanya safari zake kati ya miji ya Sirari, Musoma na Mwanza.
Sababu za Italia kusuasua kiuchumi
Licha ya dunia kuwa na jumuiya nyingi za kisiasa na kiuchumi, Umoja wa Ulaya (EU) ni kati ya jumuiya za kisiasa na kiuchumi zilizofanikiwa kwa kiasi kikubwa ikilinganishwa na jumuia nyingine duniani.
Ni jumuiya inayounganisha watu zaidi ya milioni 500 kutoka mataifa wanachama ishirini na nane huku pato la jumuiya likitajwa kufikia dola trilioni 18.45.
Ngeleja; Kichwa kilichojificha nyuma ya tambo za Kikwete
“Natamani kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania kuongoza nchi ambayo ni maskini…Nimeongoza nchi maskini, lakini nataka mrithi wangu kuongoza nchi yenye ustawi na utajiri” yalikuwa ni maneno ya Rais Jakaya Kikwete aliyoyatoa Agosti 5, 2014 alipozungumza kwenye Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo mjini Washington, D.C., Marekani.
Uchafu waharibu mandhari ya mji wa Songea
Wananchi Manispaa ya Songea wameelezea wasiwasi wao kuhusu kukumbwa na milipuko wa magonjwa mbalimbali, kutokana na kukidhiri kwa uchafu katika maeneo mbalimbali yakiwamo soko kuu la mji buo.
Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wamesema miundombinu ya maji taka Soko Kuu la Songea ni mibovu. Mitaro ya mji huo imefurika na kutiririsha maji hovyo yanayosambaa kwenye maeneo ya wauza nyanya, vitunguu, samaki na dagaa.
Hivi kati ya Spika Sitta na Kubenea nani ‘Court Jester’?
Akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi Jumanne iliyopita, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba (BMK), Samuel John Sitta, alimshambulia Mkurugenzi Mtendaji wa HaliHalisi Publishers, Saed Kubenea, kwa kitendo chake cha kufungua shauri mahakamani kupinga Bunge hilo.
Malengo ya Kazi (1)
Hotuba ya Rais Mwalimu Julius Nyerere kwenye Sherehe ya Kufungua Kiwanda cha Nguo Ubungo Dar es Salaam Julai 6, 1968
- Watuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara raia wa China wakamatwa
- Mtendaji Mkuu wa ADEM, Dkt Maulid afungua mafunzo ya Uongozi wa Kimkakati kwa sekondari Shinyanga
- Ushirikiano wa wadau ni muhimu kufikia lengo la nishati safi ya kupikia la 2034 – Salome
- Mkuu wa Jeshi la Magereza afungua mafunzo ya utekelezaji wa programu za urekebishaji kwa maafisa ustawi wa jamii
- Manispaa Kibaha yatoa milioni 991 kwa vikundi 51
Habari mpya
- Watuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara raia wa China wakamatwa
- Mtendaji Mkuu wa ADEM, Dkt Maulid afungua mafunzo ya Uongozi wa Kimkakati kwa sekondari Shinyanga
- Ushirikiano wa wadau ni muhimu kufikia lengo la nishati safi ya kupikia la 2034 – Salome
- Mkuu wa Jeshi la Magereza afungua mafunzo ya utekelezaji wa programu za urekebishaji kwa maafisa ustawi wa jamii
- Manispaa Kibaha yatoa milioni 991 kwa vikundi 51
- Mramba aitangaza Tanzania Canada, asema ni kitovu cha uwekezaji nishati
- Ujumbe wa Tanzania washiriki maadhimisho ya kuzuia utumikishwaji wa mtoto Geneva
- MSD yaihakikishia Kamati ya Bunge ubora wa huduma katika utekelezaji wa bima ya afya kwa wote
- WRRB yanadi ufanisi mfumo wa stakabadhi za gha Misri, yafungua milango ya biashara ya mifugo
- Mahundi aieleza dunia hatua za Tanzania katika kulinda haki za wenye ulemavu
- Mbunge Anne Kilango aongoza mapokezi ya shujaa wa AFCON U -17 Same Mashariki
- Tanzania, Singapore, zaimarisha ushirikiano wa uendelezaji ujuzi na rasilimali watu
- TRA kuadhimisha miaka 30, Rais kutoa tuzo kwa walipa kodi bora
- Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISETA ni mkakati wa kujenga vijana wenye afya bora -Prof. Shemdoe
- Ziara ya Rais Samia Urusi imethibitisha hatufungamani upande wowote -Wasira